GOAL | UGANDA 1-0 TANZANIA BARA (SEMI FINAL 2 CECAFA SENIOR CHALLENGE 17/12/2019)
Bao pekee la Fahad Bayo dakika ya 86 limeitupa Tanzania Bara nje ya mashindano ya Cecafa Senior Challenge Cup kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wa mashindano, Uganda The Cranes.