MZINGA:''YANGA BADO WANANAFASI NYINGINE/SIMBA SIO GOIGOI/WALIMILIKI MPIRA KWA ASILIMIA NYINGI.
MZINGA:''YANGA BADO WANANAFASI NYINGINE/SIMBA SIO GOIGOI/WALIMILIKI MPIRA KWA ASILIMIA NYINGI.

Tathmini yakinifu kutoka kwa Ghalib Mzinga Mchambuzi na Mtangazaji wa soka kutoka Azam Media LTD, Naada mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Medeama SC dhidi ya Yanga SC, huku Timu hizi zikilazimishana sare ya Mabao ya 1-1.

Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023
Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023

Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis. Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati. Tazama highlights....

Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023

Magoli yote | Simba SC 1-5 Yanga SC | NBC Premier League 05/11/2023
Magoli yote | Simba SC 1-5 Yanga SC | NBC Premier League 05/11/2023

Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis. Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati. Haya hapa magoli yote sita ya mchezo huu...

Simba SC 2-1 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 28/10/2023
Simba SC 2-1 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 28/10/2023

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ulipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Simba imetangulia kwa goli la Jean Baleke dakika ya 13 lakini Ihefu wakachomoa dakika ya 25 kupitia kwa Ismail Mgunda na 'super sub, Moses Phiri akatia kitu cha pili dakika ya 65. Tazama highlights.....

Azam FC 1-3 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League 27/10/2023
Azam FC 1-3 Namungo FC | Highlights | NBC Premier League 27/10/2023

Azam FC wamekula kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Namungo FC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Namungo yametoka kwa Pius Buswita dakika ya 10, Hashim Manyanya dakiak ya 19 na Reliants Lusajo dakika ya 50 huku goli la kufutia machozi likifungwa na Ayoub Lyanga dakika ya 70.

Simba 2-2 Al Ahly | Highlights |  African Football League 20/10/2023
Simba 2-2 Al Ahly | Highlights | African Football League 20/10/2023

Ni mchezo wa ufunguzi ulioshuhudia Simba ikitoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Kibu Denis dakika ya 53, na Sadio Kanoute dakika ya 59 huku magoli ya Al Ahly yakifungwa na Reda Slim (45'+1) na Mahamoud Karahba dakika ya 63.

« Previous Next »

Popular Tags

#Best Goals Ever  #LeBron James  #Best Goals  #Stephen Curry  #Paul Pogba  #Counter Attack Goals Football  #Paul Pogba  #Boston Celtics  #Best Football Defending Skills  #Goal Celebrations  

Popular Users

#KDTrey5  #taylorswift13  #Drake  #espn  #BadgerMBB  #baseballpro  #josecanseco  #MileyCyrus  #J_No24  #richarddeitsch  #CP3  #BeingSalmanKhan  #BrunoMars