Content removal request!


Simba SC 2-1 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 28/10/2023

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ulipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Simba imetangulia kwa goli la Jean Baleke dakika ya 13 lakini Ihefu wakachomoa dakika ya 25 kupitia kwa Ismail Mgunda na 'super sub, Moses Phiri akatia kitu cha pili dakika ya 65. Tazama highlights.....