MAGORI ASEMA SIMBA ITAISHTAKI FIFA COASTAL UNION KUHUSU MCHEZAJI LAWI
MAGORI ASEMA SIMBA ITAISHTAKI FIFA COASTAL UNION KUHUSU MCHEZAJI LAWI

Mjumbe wa Bodi ya Timu ya Simba SC kwa upande wa Mwekezaji Mohammed Dewji Mo, Crescentius Magori, amepangua hoja dhaifu za uongozi wa timu ya Coastal Union unaodai kuwa mchezaji Lameck Lawi aliyetambulishwa Simba jana bado ni mchezaji wao, na kusema wataishtaki Coastal Union FC na hiyo klabu nyingine ya nje inayomhitaji Lawi. Akihojiwa na E FM.



ALLY KAMWE" USAJILI AMBAO TUMEUFANYA WATALIA MACHOZI NA KUSAGA MENO/MASHABIKI WA SIMBA TUNAWAPOKEA
ALLY KAMWE" USAJILI AMBAO TUMEUFANYA WATALIA MACHOZI NA KUSAGA MENO/MASHABIKI WA SIMBA TUNAWAPOKEA

Leo June 15,2024 Klabu ya Yanga inazindua Kitabu cha Historia yao toka kuanzishwa kwake Februari 11,1935. Uzinduzi huo unafanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Dar es Salaam.



LIVE: Mangungu Anafunguka Ya Moyoni | Anaeleza Kila Sakata la Mo Dewji | Sports Xtra
LIVE: Mangungu Anafunguka Ya Moyoni | Anaeleza Kila Sakata la Mo Dewji | Sports Xtra

Sports Xtra ya Clouds FM iko live na Murtaza Mangungu anaefunguka kuhusu sakata la uongozi wa klabu ya Simba #SportsXtra



HASHIMU IBWE YANGA NI TIMU BORA KWA SASA, KLABU BINGWA SIO YA KILA MTU/MAKOLO WATATESEKA SANA..
HASHIMU IBWE YANGA NI TIMU BORA KWA SASA, KLABU BINGWA SIO YA KILA MTU/MAKOLO WATATESEKA SANA..

JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 https://pmbet.co.tz/en/auth/signup?utm_source=Youtube_pmtv&utm_medium=Video&utm_campaign=registrations NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA TOYOTA HARRIER NA NISSAN X-TRAIL TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU INSTAGRAM @pmtvtz TWITTER @Pmtvtz TIKTOK @officialpmtv



🟡Duh!Tazama Manara Akichambua Na Kuumaliza Msimu Wa Ligi Ataja Wachezaji Bora Na Kikosi Bora na Timu
🟡Duh!Tazama Manara Akichambua Na Kuumaliza Msimu Wa Ligi Ataja Wachezaji Bora Na Kikosi Bora na Timu

Baada ya Msimu wa Ligikuu kutamatika hii leo, Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amezungumza na Watanzania kwa mara ya kwanz na kutoa maoni yake n uchambuzi juu ya vile ameutazama msimu na wachezaji ambao wamemvutia zaidi. #hajimanara #manaratv #yangasc #azizki #alikamwe #ahmedally #simbasc #azamfc #ligikuu #nbc #tff #ubingwa #wachezaji #michezo #burudani #raisheri #injinia #modewij #babra #mangungu #gamondi #gsm #matola #mgunda #mvp #pacome #yao #topscorer Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia



FACE TO FACE Part1: ALLY KAMWE AFUNGUKA WAZI INSHU YAKE NA AHMED ALLY/ YANGA KUFUNGUA REDIO NA TV
FACE TO FACE Part1: ALLY KAMWE AFUNGUKA WAZI INSHU YAKE NA AHMED ALLY/ YANGA KUFUNGUA REDIO NA TV

Meneja wa habari na mawasiliano wa Yanga Sc Ally Kamwe leo kwenye Face to Face amefunguka mambo mengi ambayo yanagusa maisha yake pia kazi yake anayoifanya kwenye klabu ya yanga huku akitaja kisa chake na ahmed ally msemaji wa Simba sc #diamond #harmonize #middlesimba #simbasc #kondegang #zuchu #numeroyapastorntambabazi0788554028 #tanzaniafootball #simba #simba #simbanation #simba #tanzaniafootball #zuchu #kondegang #simbasc #middlesimba #harmonize #diamond #harmonize #middlesimba #simbasc #kondegang #zuchu #simba #tanzaniafootball #simba #simbanation #simba #tanzaniafootball #zuchu #kondegang #simbasc #middlesimba #harmonize #diamond #harmonize #middlesimba #simbasc #kondegang




« Previous Next »


Popular Tags

#LeBron James  #Best Goals Ever  #Kyrie Irving  #Shaquille O'Neal  #Cleveland Cavaliers  #Los Angeles Lakers  #Gareth Bale  #Mesut Ozil  #Best Goalkeeper Saves  #Manuel Neuer  

Popular Users

#twitter  #selenagomez  #TheRock  #UKCoachCalipari  #KingJames  #THNRyanKennedy  #TheNotoriousMMA  #b_ryan9  #realmadrid  #MikePereira  #CNN  #BaileyLAKings  #lindseyvonn  #J_No24