Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
Afisa Habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amefunguka kuhusu tetesi za Wachezaji Kibu Denis na Chama kutaka kuondoka klabuni hapo. Kwa mujibu wa Ahmed amesema kuwa mchezaji yeyote kama simba haimtaki itamuacha lakini kama wanamtaka atabaki SIMBA _________________________________________________________________________________ Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz _________________________________________________________________________________ Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp #KibuDenis #Chama #Simba
Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe, amezungumza na Mpenja TV na kuelezea Mipango ya Timu yake kuelekea katika Mchezo wa CRDB Federation Cup Dhidi ya Dhidi ya Tabora United Mchezo ambao utachezwa May 1,2024 katika uwanja wa Azam Complex Pia Ally Kamwe amegusia kuhusu tetesi za Mchezaji wao Pacome Zouzoua na kuweka wazi kinachoendelea mpaka sasa.
βKama klabu lazima tuoneshe kwamba kuna namna ambavyo hatujaridhishwa na kile ambacho kimetokea katika mchezo uleβ sehemu ya maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akizungumzia hatua ambazo timu hiyo imepanga kuzichukua juu ya yale yaliyojiri katika dimba la Loftus kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns.