ALLY KAMWE" USAJILI AMBAO TUMEUFANYA WATALIA MACHOZI NA KUSAGA MENO/MASHABIKI WA SIMBA TUNAWAPOKEA
Leo June 15,2024 Klabu ya Yanga inazindua Kitabu cha Historia yao toka kuanzishwa kwake Februari 11,1935.
Uzinduzi huo unafanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Dar es Salaam.