🛑#LIVE:UTAPENDA ALI KAMWE ALIVYOMTAMBULISHA WACHEZAJI WOTE WA YANGA MSIMU HUU LEO YANGA DAY NI BALAA
🛑#LIVE:UTAPENDA ALI KAMWE ALIVYOMTAMBULISHA WACHEZAJI WOTE WA YANGA MSIMU HUU LEO YANGA DAY NI BALAA

#YangaDay #Yangasc #UtambulishowachezajiYangasc Wachezaji wapya Waliosajiliwa msimu huu 1. Albert Kangwanda 2. Housseine Zakouani 3. Cheick Ibrahim Toure 4. Peter Shalulile 5. Oumar Farouk Comara 6. Marco Mpemba D 7. Eric Mwijage 8. Abdulnasir Asa Gamal 9. Mohamed Mussa 10. Juma issa Abushir 11. Hussein Mihambo Walioondoka Yanga 1. Shekhan Khamis Mkopo Singida 2. Frank Assink 3. Lassine Kouma 4. Bubah Jammeh 5. Prince Dube 6. Farid Mussa 7. Israel Mwenda 8. Emmanuel Mwanengo Mkopo TRA 9 Balla Conte 10. Mohamed Doumbia Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao Kouassi 2. Kibwana shomari 3. Denis Nkane 4. Bakari Mwamnyeto 5. Salum Abubakari Sure boy 6. Mohamed Damaro IDADI YA WACHEZAJI NA NAMBA ZAO WATAKAZOCHEZA YANGA MAGOLIKIPA 1. Djigui Diarra 2. Hussein Massalanga 3. Aboutwalib Mshery WALINZI KULIA NAMBA 2 1. Yao Kouassi 2. Kibwana shomari 3. Abdulnasir Asa Gamal KUSHOTO NAMBA 3 1. Mohamed Hussein 2. Chadrack Boka WALINZI WA KATI 4&5 1. Dickson Job 2. Ibrahim Bacca 3. Abdallah Othman Nidhar Ninju 4. Oumar Farouk Comara 5. Mohamed Mussa 6. Bakari Mwamnyeto VIUNGO 1. Abdulnasir Mohamed Casemiro 2. Duke Abuya 3. Max Nzengeli 4. Allan Okello 5. Housseine Zakouani 6. Albert Kangwanda 7. Mudathir Yahya 8. Eric Mwijage 9. Fred Ngoma 10. Salum Abubakari Sure Boy 11. Denis Nkane 12. Juma Abushir 13. Kazimoto kapandishwa timu U20 14. Mohamed Damaro WASHAMBULIAJI 1. Clement Mzize 2. Peter shalulile 3. Marco Mpemba D 4. Cheick Ibrahim Toure 5. Hussein Mihambo Wachezaji wote 12 wa Kigeni waliopo Yanga Msimu Huu 1. Djigui Diarra 2. Yao Kouassi 3. Chadrack Boka 4. Oumar Farouk Comara 5. Max Nzengeli 6. Duke Abuya 7. Peter Shalulile 8. Albert Kangwanda 9. Housseine Zakouani 10. Cheick Ibrahim Toure 11. Fred Ngoma 12. Allan Okello NB Pacome Zouzoua ametolewa kwenye mfumo wa usajili tu lakini Bado anasalia ndani ya Yanga kuuguza majeraha yake Hii ndiyo List nzima ya wachezaji wa Yanga msimu huu 2026/2027.



TAZAMA HAPA MWANZO MWISHO AHMED ALY ALIVYOWATAMBULISHA WACHEZAJI SIMBA DAY
TAZAMA HAPA MWANZO MWISHO AHMED ALY ALIVYOWATAMBULISHA WACHEZAJI SIMBA DAY

SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 📱 Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi



🛑#LIVE: SIMBA ILIVYOWATAMBULISHA WACHEZAJI WOTE MSIMU HUU,WALIOACHWA NA WALIOSAJILIWA SIMBA DAY 2026
🛑#LIVE: SIMBA ILIVYOWATAMBULISHA WACHEZAJI WOTE MSIMU HUU,WALIOACHWA NA WALIOSAJILIWA SIMBA DAY 2026

#SimbaSC #SimbaDay2026 #Utambulishowachezajisimbaleo Simba Day 2026 List ya wachezaji wote waliotemwa msimu huu Simba Sc 1. Mussa Camara 2. Chamou Karaboue. 3. Naby Camara. 4. Edwin Balua. 5. Joshua Mutale. 6. Awesu Awesu. 7. Omari Omari. 8. Moussa Camara. 9. Mzamiru Yassin 10. Ladack Chasambi 11. Jonathan Sowah 12. Mohamed Bajaber 13. Allasane Kante 14. Inno Loemba 15. Salehe Karabaka Mkopo Pamba Jiji NB Seleman Mwalimu Bado 50/50 Simba inapambana kumpata Wachezaji wapya Waliosajiliwa Simba msimu huu 1. Keletso Makgalwa 2.Ibraheem Jabaar 3. Ibrahim Doumbia 4. Kelvin Nashon 5.Bakari msimu 6.Nathaniel Chilambo Wachezaji wote 12 wa Kigeni wa Simba msimu huu 1:🇳🇪Mamadou Kassali 2:🇨🇮Ismael Toure 3:🇿🇦Rushine De Reuck 4:🇸🇳Libase Gueye 5:🇨🇩Ellie Mpanzu 6:🇿🇦Neo Maema 7:🇿🇲Cloutas Chama 8:🇨🇮Anicet Oura 9:🇳🇬Ibraheem Jabaar 10:🇿🇦Keletso Makgalwa 11:🇲🇱Ibrahim Doumbia 12:🇨🇬Innocent Loemba NB Loemba muda wowote Anaweza kutolewa Simba Iko mbioni kutafuta Straika na anayehusishwa ni Gelson Dala kutoka Angola maana Kocha Steve Berker amejiridhisha kuwa Loemba hatoshi kwenye timu yake WACHEZAJI WA SIMBA KWA NAMBA ZAO MAGOLIKIPA 1. Mahamoud Kassali 2. Hussein Abel 3. Alex Alex U20 4. Yakoub Suleiman MABEKI WA KULIA 1. Shomari Kapombe 2. Nathaniel Chilambo 3. David Kameta Duchu MABEKI WA KUSHOTO 1. Nickson Kibabage 2. Anthony Mligo MABEKI WA KATI 4&5 1. Hussein Mbegu 2. Rushine De Reuck 3. Ismail Toure 4. Wilson Nangu 5. Abdulrazack Hamza 6. Vedastus Masinde VIUNGO 1. Yusuf Kagoma 2. Ibraheem Jabaar 3. Libase Gueye 4. Keletso Makgalwa 5. Kelvin Nashon 6. Clatous Chama 7. Ellie Mpanzu 8. Allasane Kante 9. Alexander Erasto 10. Anicet Oura 11. Inno Loemba 12. Charles Semfuko 13. Bakari Msimu 14. Morice Abraham WASHAMBULIAJI 1. Ibrahim Doumbia 2. Emmanuel Mwangosi 3. Seleman Mwalimu Wachezaji 32 wa Simba SC una Maoni gani juu ya Jeshi hili



🛑#LIVE:YANGA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WALIOACHWA MSIMU HUU,YATAJA WACHEZAJI WOTE WAPYA LEO
🛑#LIVE:YANGA YATANGAZA LIST NZIMA YA WACHEZAJI WALIOACHWA MSIMU HUU,YATAJA WACHEZAJI WOTE WAPYA LEO

#Yangasc #Usajilimpya #TetesizausajilimpyaYangasc Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Nyota mpya wa Yanga SC, Albert Kangwanda, amemaliza msimu wa 2025/26 kwa kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Zambia (MVP) baada ya kuonyesha kiwango bora katika msimu mzima. Takwimu zake za msimu kwenye michuano yote: Mechi: 32 Magoli: 17 Asisti: 9 Mchezaji Bora wa Ligi (MVP) Timu alizowahi kuchezea: Red Arrows FC Kafue Celtic FC Zanaco FC Kafue Celtic FC HNK Gorica NK Hrvatski Dragovoljac Red Arrows FC Al-Hilal Omdurman Red Arrows FC Spartanii Sportul Red Arrows FC Wananchi, mnaipa alama ngapi usajili wa Albert Kangwanda? Huyu ni Winga fundi sana na anapiga free kick vibaya mno 2. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundows ,Peter Shalulile (32). Baada ya mazungumzo ya muda mrefu Shalulile amesinya miaka miwili Yanga✅ Yanga wamempa $700,000 (1.8 bilion) kama Sign-on fee. Kipindi ambacho watu wote akili zao zipo kwa Stephane Aziz Ki, viongozi wa Yanga SC wao wakasema hapana-huko tulishapita na mambo yamebadilika! Wakati mnasubiri kuona nani anafuata baada ya Allan Okello (top player kusajiliwa na kuonesha), mabingwa wa nchi wakaona washushe chombo cha viwango vya juu kabisa vya CAF. Hapa hatuongelei mchezaji wa kawaida, naongelea funga kazi Bingwa wa Afrika akiwa na Mamelodi Sundowns, mashine hatari ya kucheka na nyavu, PETER SHALULILE anatua Jangwani🟢🟡 rasmi on a free transfer . Takwimu za Peter Shalulile Mabao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL / SAPD): Mabao 112 (mabao 44 akiwa na Highlands Park na mabao 68 akiwa na Mamelodi Sundowns). Mabao ya CAF Champions League: Mabao 15 (yote akiwa na Mamelodi Sundowns, ambapo pia alikuwa mfungaji bora wa mashindano hayo mwaka 2023). Mabao kwenye Mashindano Yote (Klabu): Mabao 153 katika michezo 353 (mabao 49 Highlands Park na mabao 104 Mamelodi Sundowns). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro ni Winga fundi haswaaa 4. Cheikh Ibrahima Touré ni mshambuliaji mwenye asili ya Senegal na Ufaransa, anayejulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga mabao na kuongoza safu ya ushambuliaji. Kabla ya kujiunga na Yanga SC, Touré alikuwa akicheza nchini Saudi Arabia, ambako alikuwa na msimu bora uliomfanya kuwa miongoni mwa washambuliaji waliofanya vizuri. Takwimu zake msimu uliopita: Mechi: 34 Mabao: 20 Asisti: 5 Touré anajiunga na Yanga akiwa na rekodi nzuri na matarajio makubwa ya kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya mabingwa hao wa Tanzania. 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo 9.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi Winga kutoka Mashujaa 10. Fred ngoma kiungo kutoka Olympic de Club safi Morocco 11. Marco maarufu kama mpemba D Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent amejiunga na Coastal Union ya Tanga 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda TRA United 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Bakari Mwamnyeto 5. Shadrack Boka 6. Denis Nkane Hii ndiyo orodha ya wachezaji 12 wa kigeni wa Yanga SC kuelekea msimu wa 2026/27, huku klabu hiyo ikiendelea kusuka kikosi cha kupambana kwenye mashindano mbalimbali. 🇨🇮 1. Diarra Djigui 🇨🇮 2. Kouassi Yao 🇨🇮 3. Boka Shadrack 🇨🇲 4. Max Nzengeli 🇰🇪 5. Duke Abuya 🇺🇬 6. Allan Okello 🇳🇦 7. Peter Shalulile 🇫🇷 8. Ibrahima Touré 🇿🇲 9. Albert Kangwanda 🇨🇬 10. Fred Ngoma 🇰🇲 11. Housseine Zakouani 🇦🇴 12. Laurindo Depu 13. Pacome Zouzoua Pacome Zouzoua naye yupo nje kutokana na majeraha na taarifa zinaeleza kuwa hatakuwa sehemu ya msimu ujao




Next »


Popular Tags

#Gareth Bale  #Mesut Ozil  #Football Skills  #James Harden  #Russell Westbrook  #Lionel Messi  #Neymar  #Ronaldinho  #Football Defensive Skills  #Manuel Neuer  

Popular Users

#StephenCurry30  #kevinlove  #BMcCarthy32  #steveaustinBSR  #NASA  #imVkohli  #floydmayweather  #DeionSanders  #ochocinco  #SimplyAJ10  #katyperry  #TheRealJRSmith  #TheNotoriousMMA  #rioferdy5  #baseballpro