Magoli | Ihefu SC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League 04/10/2023
Magoli | Ihefu SC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League 04/10/2023

Yanga SC imekutana na kichapo cha 2-1 kwa mara nyingine tena kutoka kwa Ihefu SC kwenye Uwanja wa Highland Estates mkoani Mbeya, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC. Yanga wametangulia dakika ya 4 kupitia kwa Pacome Zouzoua kabla ya Ihefu kuchomoa dakika ya 40 kupitia kwa Lenny Kissu na Charles Ilanfya kufunga la pili dakika ya 67.

Pigo Zito Yanga! Wachezaji 8 Kukosekana Mechi Dhidi Ya Namungo Ligi Kuu NBC 2023/2024
Pigo Zito Yanga! Wachezaji 8 Kukosekana Mechi Dhidi Ya Namungo Ligi Kuu NBC 2023/2024

Yanga Vs Namungo Yanga Vs Namungo Live Yanga Vs Namungo Leo Yanga Vs Namungo Live Leo Yanga Vs Namungo Magoli Yanga 0-0 Namungo #Yanga #NbcPl #YangaSc

Magoli yote | Yanga 5-0 JKT Tanzania | NBC Premier League 29/08/2023
Magoli yote | Yanga 5-0 JKT Tanzania | NBC Premier League 29/08/2023

YANGA vs JKT: Yanga SC imeichakaza JKT Tanzania mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi....... Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yametoka kwa Stephane Aziz Ki kwa free kick dakika ya 45+5, Kenedy Musonda dakika ya 54, Yao Kouassi dakika ya 64 na Max Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 79 na 88. Haya hapa magoli yote......

Pigo Zito Yanga! Wachezaji 8 Kukosekana Mechi Dhidi Ya JKT Tanzania Ligi Kuu NBC 2023/2024
Pigo Zito Yanga! Wachezaji 8 Kukosekana Mechi Dhidi Ya JKT Tanzania Ligi Kuu NBC 2023/2024

Yanga Vs JKT Tanzania Yanga Vs JKT Tanzania Live Yanga Vs JKT Tanzania Live Leo Yanga Vs JKT Tanzania Magoli Yote Yanga Vs JKT Tanzania Leo Live Yanga Vs JKT Tanzania 0-0 Yanga 0-0 JKT Tanzania #YangaSc #NbcPl #AzamTv #Yanga #JktTanzania

Magoli yote | Yanga 5-0 KMC |  NBC Premier League 23/08/2023
Magoli yote | Yanga 5-0 KMC | NBC Premier League 23/08/2023

Yanga SC imeichakaza KMC kwa kichapo cha mabao 5-0 , mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierleague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Dickson Job (17), Stephane Aziz Ki (58'), Hafidh Konkoni (69'), Mudhathir Yahya (76) na Pacome Zouzoua (82). Tazama magoli yote hapa....

Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Leo Dhidi Ya KMC Mechi Ya Ligi Kuu NBC 2023/2024
Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Leo Dhidi Ya KMC Mechi Ya Ligi Kuu NBC 2023/2024

Yanga Vs KMC Yanga Vs KMC Leo Yanga Vs KMC Live Leo Yanga Vs KMC Magoli Yote Yanga Vs KMC Leo Live Yanga Vs KMC Live Yanga 0-0 KMC #YangaSc #AzamTv #NbcPl #Kmc #Yanga

« Previous Next »

Popular Tags

#Football Defensive Skills  #Zlatan Ibrahimovi  #Allen Iverson  #Russell Westbrook  #Goalkeeper Saves  #Kyrie Irving  #Derrick Rose  #Chris Paul  #Miami Heat  #Stephen Curry  

Popular Users

#BellaTwins  #TheChristinaKim  #ochocinco  #rioferdy5  #iamsrk  #hunterpence  #Ky1eLong  #YouTube  #ddlovato  #BeingSalmanKhan  #sydneyleroux  #BBCBreaking  #MieshaTate  #steveaustinBSR  #oldhossradbourn