LIVE CROWN SPORTS; SOWAH AKIMBIA SIMBA ARUDI SINGIDA BS/ UCHAGUZI YANGA UMENOGA, VITA IPO KWA WAJUMBE/ PLAYOFF NBCPL.
LIVE CROWN SPORTS:USAJILI YANGA & SIMBA UNATIKISA BONGO NBCPL/ UCHAGUZI YANGA SC UMENOGA.
LIVE CROWN SPORTS; YANGA IMEKARIBIA KUBEBA UBINGWA WA TANO MFULULIZO/ SIMBA YAMSUBIRI YANGA AJIKWAE NBCPL/ NBCPL IMENOGA.
#NBCPL: Akapita katikati yao akiwaacha Mbeya City wakimtazama….. Ni Elie Mpanzu ambaye amefunga goli hili na kuitanguliza Simba. HT: Mbeya City 0-1 Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #MbeyaCityVsSimbaSC #MbeyaCity #SimbaSC #MbeyaCitySimbaSC #MCCSSC
LIVE CROWN SPORTS; VITA YA SIMBA & YANGA UBINGWA WA NBCPL IMEFIKA PABAYA, KWANINI?/ KMC FC BYE BYE NBCPL/NBCPL IMENOGA!/ KAYUNI AULA SHIRIKISHO LA SOKA ZAMBIA/ USAJILI UMEANZA BONGO.!
#NBCPL: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Pamba Jiji FT: Simba SC 2-1 Pamba Jiji Magoli ya Simba yamefungwa na Elie Mpanzu na Libasse Gueye huku goli la Pamba Jiji likifungwa na Mathew Momanyi. #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #SimbaVsPambaJiji #SimbaSC #PambaJiji #SimbaPamba
#NBCPL: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC ikiwa ugenini dhidi ya Mashujaa FC. Mechi imepigwa katika dimba la Lake Tanganyika Kigoma. Magoli yamefungwa na Mudathir Yahya na Bakari Mwamnyeto FT: Mashujaa 0-2 Yanga #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #MashujaaVsYanga #Mashujaa #YangaSC #MSHYNG
Jean Jaques Ngita na Jephte Kitambala Bola wameipa Azam FC magoli mawili muhimu ugenini wakiondoka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha dhidi ya Fountain Gate FC. Haya hapa magoli yote mawili...