Hatimaye Simba imevunja mwiko wa kutopata ushindi kwenye Uwanja wa Kaitaba dhidi ya Kagera Sugar, baada ya leo kuitandika magoli 5-2, mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania. Magoli ya Simba yametoka kwa Shomary Kapombe 13', Jean Charles Ahoua 44', Fabrice Ngoma 53, na Stephen Desse Mukwala aliyefunga mawili dakika ya 66 na 85. Magoli ya Kagera Sugar yamefunga na Datius Peter dakika ya 79 na Cleophace Mkandala dakika ya 90. Ilikuwa ni mechi ambayo pia imemshuhudia kwa mara ya kwanza kiungo mpya wa Simba, Ellie Mpanzu aliyecheza kwa takriban dakika 70.
BETI NA PMBET UJISHINDIE TOYOTA HARRIER, NISSAN X-TRAIL NA IST KUPITIA LINK HII ๐ https://pmbet.co.tz/en/auth/signup?ref_id=pmtv USISAHAU KU-SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU KWA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU. INSTAGRAM @pmtvtz TIKTOK @officialpmtv TOVUTI: www.pmtv.co.tz
Maxi Nzengeli na Clement Mzize wamefunga magoli mawili, Yanga ikishinda 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba Bukoba, mchezo wa #NBCPremierLeague
Yanga SC imebanwa mbavu na kulazimishwa suluhu na Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague Tazama baadhi ya matukio muhimu kutoka kwenye mchezo huo....
TBCNEWS, 26TH JANUARY, 2024 | FROM 10:00 - 10:30 PM
#simba #yanga #soka #allykamwe #azamfc #ahmedally #usajili #chama #live #mayele #pacome #azizki #maxinzengeli #maxiday #elmeeikh #usajili #cafcl #cafclcc #caf #totalenergies #cecafa #twigastars #yangavscoastalunion #yanga #coastalunion #simba #kagera #kaitaba #jezinyeusi #allykamwe #ahmedally #azamfc #christmas #merrychristmas #chama #azizki #lomalisa #worldcup #argentina #simbasc #yangasc #simba #yanga #allykamwe #ahmedally #mechiyaleo #magoliyote #magoli #mayele #feisal #feitoto #chama #sakho #azizki #alhilal #angola #taifastars #tanzania #nbcpl #tff #azamfc #azamsports #azamtv #live #mechi #ligikuu #manara #privaldinho #msemajimpya #kochampya #kocha #goli #matchday #cafcc #cafclcc #groupstage #caf #championsleague #fa #asfc #bingwa #globaltv #ayotv #ayomatv #mpenjatv #mavalatv #vimbamedia #activemedia #iwejuaiwemvua #hatokimtu#azamfcvssimbasc #azamfc #sakho #mosephiri #chama #dube #magoliyaleo #magoliyote #mechizaleo #mkapa #cafcl #cafcc #clubafricains #mgunda #mletemzungu #kajala #harmonize #rayvanny #vannyboy #tetema #wimbompya #juakali #diamondplatnumz #wcb #wasafibet #jamboleo #sautikuu #usajili #akaminko #kiprejr #feisal