JKT Tanzania 1-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 21/11/2026
JKT Tanzania 1-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 21/11/2026

Simba SC imepindua meza na kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Dar es Salaam, ukiwa ni ushindi wake wa 11 mfululizo kwenye ligi msimu huu... Wenyeji JKT Tanzania ndio waliotangulia kupata bao dakika ya 10 kupitia kwa Said Mkopi, lakini Simba wakajibu kwa mabao ya Elie Mpanzu na Libase Gueye. Tazama highlights....

Kikosi Cha Simba Leo Dhidi Ya JKT TANZANIA Ligi Kuu NBC 2026/2027
Kikosi Cha Simba Leo Dhidi Ya JKT TANZANIA Ligi Kuu NBC 2026/2027

Simba Vs JKT Tanzania Simba Vs JKT Tanzania Live Simba Vs JKT Tanzania Leo Simba Vs JKT Tanzania Live Leo Simba Vs JKT Tanzania Leo Live Simba Vs JKT Tanzania Highlights Simba Vs JKT Tanzania Magoli Simba Vs JKT Tanzania Livestream JKT Tanzania Vs Simba JKT Tanzania Vs Simba Live JKT Tanzania Vs Simba Leo JKT Tanzania Vs Simba Live Leo JKT Tanzania Vs Simba Leo Live JKT Tanzania Vs Simba Highlights JKT Tanzania Vs Simba Magoli JKT Tanzania Vs Simba Livestream JKT Tanzania 0-0 Simba Simba 0-0 JKT Tanzania JKT Tanzania Vs Simba 0-0 Simba Vs JKT Tanzania 0-0 Kikosi Cha Simba Kikosi Cha Simba Leo Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo Simba Leo Kikosi Cha Yanga Kikosi Cha Yanga Leo Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Leo Yanga Leo Mabadiliko Kikosi Cha Yanga Mabadiliko Kikosi Cha Simba #SimbaSc #YangaSc #AzamTv #Yanga #YangaLeo #YangaTv #Alikamwe #YangaScMedia #FriendlyMatch #MechiYaYangaLive #Simba #AhmedAlly #MoDewji #SimbaScTanzania #SimbaLeoLive #MtibwaSugarFc

Magoli sita, penati mbili | Azam FC 2-4 Singida BS | NBC Premier League 20/11/2026
Magoli sita, penati mbili | Azam FC 2-4 Singida BS | NBC Premier League 20/11/2026

Singida BS imefanya 'come-back' na kushinda 4-2 dhidi ya Azam FC baada ya kutanguliwa 2-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Azam wametangulia kupata magoli yao kupitia kwa Feisal Salum Feitoto kwa penati, na Zidane Sereri, lakini Singida wakaanza kuyalipa kupitia kwa Emmanuel Keyekeh, James Mwashinga na Jonathan Sowah aliyefunga mawili ya mwisho. Singida BS pia walikosa penati iliyopigwa na Emmanuel Keyekeh na kuokolewa na golikipa Zuberi Foba. Tazama magoli yote na penati ...

Magoli | Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC  | NBC Premier League 20/11/2026
Magoli | Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC | NBC Premier League 20/11/2026

Cheikh Ibrahim Toure na Peter Shalulile wametikisa nyavu za Polisi Tanzania wakiipa Yanga ushindi wa 2-0 kwenye Dimba la Ushirika, Moshi. Hii ni Ligi Kuu ya NBC. Tazama magoli...

VITA YA MKANDA:  Vita ni ya Twaha Kiduku dhidi ya  Anthony Banda
VITA YA MKANDA: Vita ni ya Twaha Kiduku dhidi ya Anthony Banda

VITA YA MKANDA: Ni Twaha Kiduku amliyemkalisha mpinzani wake, Anthony Banda kwa KO. Tanzania juu….Malawi hoi…!!! Burudani ilikuwa LIVE #AzamSports5HD ✍️ @katty_shirima Mhariri | @rajjmsangi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #VitaYaMkanda #Ngumi #IbrahimClass #AranDipaen

"AMEUMIA SANA" MAX NZENGELI MAMBO HAYAPO SAWA, TAARIFA YAKE IPO HIVI...
"AMEUMIA SANA" MAX NZENGELI MAMBO HAYAPO SAWA, TAARIFA YAKE IPO HIVI...

#yangascmedia #yangasc #yangatv #yangaleo #azamsports #mpenjatv #manaratv #mavalatv #ayomatv #scopemedia #spotikaonlinetv #Utvtanzania #battletv #Dafraonolinetv #kariakooderby #alikamwe #Maximumtv #M15tv #wasafi #wasafimedia #PmtvTanzania #Richmedia #CAFAwards #tetesizausajiliyanga #viralvideo #tetesizausajilisimba #mazoeziyayanga #yangatv #yangaleo #yanga #simba #simbaleo #simbatv #football #viralshorts #battletv #datasportstv #mbwaduke #yangascmedia #tanfootball #pecomezouzou #Wolfssportnews #Afcon2023 #tv3tanzania #millardayo #S500tv #uhondotv #mashwishwitv #diamonds #salamba

EXCLUSIVE.....!!!!! MAMBO YAMEFIKA PAZURI SASA.. UWANJA WA YANGA HUU HAPA......

Next »

Popular Tags

#Counter Attack Goals Football  #Cleveland Cavaliers  #Best Champions League  #Best Football Defending Skills  #Neymar  #Zlatan Ibrahimovi  #Philadelphia 76ers  #Counter Attack Goals Football  #Lionel Messi  #Gareth Bale  

Popular Users

#kobebryant  #itsBayleyWWE  #DwyaneWade  #richarddeitsch  #Harry_Styles  #JoelEmbiid  #BadgerMBB  #hunterpence  #nytimes  #kevinlove  #BizNasty2point0  #UKCoachCalipari  #wizkhalifa  #lindseyvonn  #nfl