Magoli | Mwadui FC 1-1 Polisi Tanzania | VPL 18/12/2020
Magoli | Mwadui FC 1-1 Polisi Tanzania | VPL 18/12/2020

Mwadui FC imepata sare yake ya kwanza baada ya kupoteza mechi tano mfululizo, ikifungana bao 1-1 na Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga. Magoli yamefungwa na Daruesh Saliboko, huku Mwadui wakisawazisha dakika ya 90 kupitia kwa Salum Chubi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Mwadui FC 0-5 Yanga SC | Highlights - VPL 12/12/2020
Mwadui FC 0-5 Yanga SC | Highlights - VPL 12/12/2020

Timu ya wananchi, Yanga SC leo imeishindilia Mwadui FC kipigo cha mabao 5-0 kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga. Magoli ya mchezo huu yamefungwa na Yocouba Sogne aliyefunga mawili, Deus Kaseke, Tuisila Kisinda na Lamine Moro. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

MWADUI 0-5 YANGA | Uchambuzi baada ya mechi  - VPL 12/12/2020
MWADUI 0-5 YANGA | Uchambuzi baada ya mechi - VPL 12/12/2020

Timu ya wananchi, Yanga SC leo imeishindilia Mwadui FC kipigo cha mabao 5-0 kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga. Magoli ya mchezo huu yamefungwa na Yocouba Sogne aliyefunga mawili, Deus Kaseke na Tuisila Kisinda. Huu ni uchambuzi baada ya mchezo huo kutoka kwa Ally Mayay, Thobias Sebastian na Ahmed Ally. Usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Magoli yote Yanga ikiichakaza Mwadui 5-0 Shinyanga - VPL 12/12/2020
Magoli yote Yanga ikiichakaza Mwadui 5-0 Shinyanga - VPL 12/12/2020

Timu ya wananchi, Yanga SC leo imeishindilia Mwadui FC kipigo cha mabao 5-0 kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga. Magoli ya mchezo huu yamefungwa na Yocouba Sogne aliyefunga mawili, Deus Kaseke, Tuisila Kisinda na Lamine Moro. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

LIVE🔴:MWADUI FC VS YANGA SC
LIVE🔴:MWADUI FC VS YANGA SC

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri #Bonalive #MwaduifcVsYangasc

🔴#LIVE: MWADUI FC vs YANGA SC -   ( 0 - 5 ) LIGI KUU BARA, UWANJA wa KAMBARAGE SHINYANGA...
🔴#LIVE: MWADUI FC vs YANGA SC - ( 0 - 5 ) LIGI KUU BARA, UWANJA wa KAMBARAGE SHINYANGA...

🔴#LIVE: MWADUI FC vs YANGA SC - ( 0 - 5 ) LIGI KUU BARA, UWANJA wa KAMBARAGE SHINYANGA... NI Mtanange wa ligi kuu bara kati ya MWADUI FC vs YANGA SC, umechezwa leo Desemba 12, katika dimba la Kambarage mkoani Shinyanga... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Mwadui kuruhusu kichapo kikali cha mabao (5- 0) .... Bao la kwanza la Yanga, limefungwa na Deus Kaseke dakika ya 6, akipokea pasi ice cream kutoka kwa Yacouba Sogne... Bao la pili limefungwa dakika ya 13, na Yacouba Sogne, akipokea pasi kutoka kwa Mwalimu Mukoko Tonombe... Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekwisha na mwamuzi ameongeza dakika 3, ambazo zimemtosha Yacouba kwa mara nyingine kuandika bao lake la pili kwenye mchezo huu, lakini ni bao la tatu kwa Yanga... Tuisila Kisinda ameongeza mvua ya magoli kwa Mwadui, kwa kuwatandika bao la nne, ndani ya dakika 56... Nahodha wa Yanga, Lamine Moro, amehitimisha idadi ya magoli kwa kufunga bao la 5, ndani ya Dakika ya 69... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

🔴#LIVE MWADUI FC VS YANGA SC  - KAMABARAGE STADIUM
🔴#LIVE MWADUI FC VS YANGA SC - KAMABARAGE STADIUM

#Yangasc#Mwadui#LigikuuTanzania#MwaduiVsYanga#KambarageStadium 🔴#LIVE MWADUI FC VS YANGA SC

« Previous Next »

Popular Tags

#Lionel Messi  #Best Champions League  #Best Football Defending Skills  #Gareth Bale  #Shot Goals  #Best Football Defending Skills  #Shaquille O'Neal  #Philadelphia 76ers  #Paul George  #Kawhi Leonard  

Popular Users

#MikePereira  #obj  #Ky1eLong  #RSherman_25  #darrenrovell  #realmadrid  #BBCBreaking  #ArianaGrande  #neymarjr  #richarddeitsch  #nytimes  #rolopez42  #Buster_ESPN