MNANDI JR ACHEKELEA YANGA KUFUNGIWA USAJILI NA FIFA.
MNANDI JR ACHEKELEA YANGA KUFUNGIWA USAJILI NA FIFA.

Mnandi JR achelelea klabu ya Yanga kufungiwa usajili na shirikisho la Mpira Duniani FIFA.



๐Ÿ›‘#LIVE: WAJUE GABORONE UNITED WAPINZANI WA YANGA CAF,HAPA YANGA WAJIPANGE VIZURI
๐Ÿ›‘#LIVE: WAJUE GABORONE UNITED WAPINZANI WA YANGA CAF,HAPA YANGA WAJIPANGE VIZURI

#Yangasc #GaboroneUnited #CAF Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limefanya droo ya hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu wa 2026/27, ambapo wawakilishi wa Tanzania wamepata wapinzani wao. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC itakutana na Mighty Wanderers ya Malawi katika raundi ya kwanza ya awali, ikianza ugenini kati ya Septemba 4-6, 2026 na kumalizia nyumbani kati ya Septemba 11-13. Yanga SC nayo imepangwa kucheza dhidi ya Gaborone United ya Botswana, huku ikianza ugenini na kumalizia nyumbani katika tarehe hizo. Endapo Yanga SC itafuzu hatua hiyo, itakutana na mshindi kati ya CFFA ya Madagascar na Lijabatho FC ya Lesotho katika raundi ya pili ya awali kuwania nafasi ya kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwa upande wa Simba SC, itahitaji kuvuka kikwazo cha Mighty Wanderers ili kuendelea na safari ya kusaka nafasi ya kucheza hatua ya makundi. Katika Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC ambayo imeanzia moja kwa moja raundi ya pili ya awali, itakutana na mshindi wa mchezo kati ya ASAS Djibouti Tรฉlรฉcom ya Djibouti na ZED FC ya Misri. Nayo Singida Black Stars imepangwa kucheza dhidi ya Al Ghazala SC Wau ya Sudan Kusini katika raundi ya kwanza ya awali, ikianza ugenini kati ya Septemba 4-6 na kurudiana nyumbani Septemba 11-13, 2026.



YANGA SC VS GABORONE SC  CAF CHAMPIONS LEAGUE
YANGA SC VS GABORONE SC CAF CHAMPIONS LEAGUE

#FURAHA FM #FURAHATV #theyouthchoice KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA ELIMU,MAKALA BURUDANI NA MICHEZO KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE FURAHA TV. PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE FURAHA TV https://www.youtube.com/c/FURAHATV #hajimanara,#diamondplatnumz,#harmonize,#yangasc,#wasafi,#kondegang,#azamsports,#wasafimedia,#simba,#alikiba,#yangaleo,#yanga,#millardayoupdates,#simbasctanzania,#azamtv,#nguvumoja,#daimambelenyumamwiko,#simbasc,#mangekimambi,#shorts,#short,#viralvideo,#viral,#video,#youtubevideo,#zuchu,#zanzibar,#wemasepetu,#mwijaku,#wasafitv,#daressalaam,#ariseandshine,#upakolive,#mwamposa,#kibokoyawachawi,#rayvanny,#manara,#gigymoney,#makonda,#dance,#clamvevo,#marioo,#chekatu,#ajali,#breakingnews,#trendingvideos #mwanza #zuchu #udsm #cloudstv #arusha #babalevo #nbcpremierleague #wasafibet #life #sukari #kingkiba #bongomovie #ligikuutanzaniabara #manara #gigymoney #millardayosports #paula #marioo #umbea #mlimanicity #ireneuwoya #kariakooderby #cloudstvtz #kamatachallenge #shilole #naanzaje #taifastars #wapo #utawezana #shilingi #hajimanara #diamondplatnumz #harmonize #yangasc #wasafi #kondegang #azamsports #wasafimedia #simba #alikiba #yanga #millardayoupdates #simbasctanzania #azamtv #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #wcb #simbasc #kimvikali #tanzania #zanzibar #wemasepetu #mwijaku #wasafitv #daressalaam #efm #rayvanny #diamond #kariakoo #mangekimambi Email | furahadigital@gmail.com ๐Ÿ”ด JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI? ๐Ÿ”ด WASILIANA NA FURAHA TV ๐Ÿ”ด Email: furahadigital@gmail.com ๐™๐™๐™–๐™ฃ๐™  ๐™”๐™ค๐™ช ๐™๐™ค๐™ง ๐™’๐™–๐™ฉ๐™˜๐™๐™ž๐™ฃ๐™œ ............................................................................................... Subscribe:https://www.youtube.com/c/FURAHATV



KUMEKUCHA! BARAKA YANGA APAGAWA na UZI MPYA wa YANGA JANGWANI -AWAPIGA KIJEMBE SIMBA -"TUNAANZA NAO"
KUMEKUCHA! BARAKA YANGA APAGAWA na UZI MPYA wa YANGA JANGWANI -AWAPIGA KIJEMBE SIMBA -"TUNAANZA NAO"

KUMEKUCHA! BARAKA YANGA APAGAWA na UZI MPYA wa YANGA JANGWANI -AWAPIGA KIJEMBE SIMBA -"TUNAANZA NAO" ============================================================= โšซ๏ธ JE, NA WEWE UNA HABARI? โšซ๏ธ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 453136) โšซ๏ธ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com โšซ๏ธ OUR PLAYLISTS: โšซ๏ธ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO โšซ๏ธ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua โšซ๏ธ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio โšซ๏ธ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews โšซ๏ธ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ โšซ๏ธ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: โšซ๏ธ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 โšซ๏ธ iOS:https://apple.co/38HjiCx




Next »


Popular Tags

#Best Football Defending Skills  #Best Goalkeeper Saves  #Best Goals Ever  #Miami Heat  #Paul Pogba  #Kyrie Irving  #Derrick Rose  #Cleveland Cavaliers  #Best Ball Controls  #Gareth Bale  

Popular Users

#si_vault  #CP3  #AntDavis23  #obj  #floydmayweather  #SimplyAJ10  #MieshaTate  #twitter  #TheEllenShow  #b_ryan9  #BellaTwins  #serenawilliams  #RSherman_25  #rogerfederer