🔴#LIVE: MWADUI FC vs YANGA SC - ( 0 - 5 ) LIGI KUU BARA, UWANJA wa KAMBARAGE SHINYANGA... NI Mtanange wa ligi kuu bara kati ya MWADUI FC vs YANGA SC, umechezwa leo Desemba 12, katika dimba la Kambarage mkoani Shinyanga... Dakika 90 za mtanange huo zimemalizika kwa Mwadui kuruhusu kichapo kikali cha mabao (5- 0) .... Bao la kwanza la Yanga, limefungwa na Deus Kaseke dakika ya 6, akipokea pasi ice cream kutoka kwa Yacouba Sogne... Bao la pili limefungwa dakika ya 13, na Yacouba Sogne, akipokea pasi kutoka kwa Mwalimu Mukoko Tonombe... Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekwisha na mwamuzi ameongeza dakika 3, ambazo zimemtosha Yacouba kwa mara nyingine kuandika bao lake la pili kwenye mchezo huu, lakini ni bao la tatu kwa Yanga... Tuisila Kisinda ameongeza mvua ya magoli kwa Mwadui, kwa kuwatandika bao la nne, ndani ya dakika 56... Nahodha wa Yanga, Lamine Moro, amehitimisha idadi ya magoli kwa kufunga bao la 5, ndani ya Dakika ya 69... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline