Timu ya wananchi, Yanga SC leo imeishindilia Mwadui FC kipigo cha mabao 5-0 kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga. Magoli ya mchezo huu yamefungwa na Yocouba Sogne aliyefunga mawili, Deus Kaseke na Tuisila Kisinda. Huu ni uchambuzi baada ya mchezo huo kutoka kwa Ally Mayay, Thobias Sebastian na Ahmed Ally. Usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz