Magoli mawili ya Deus Kaseke yameipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa robo fainali ya #AzamSportsFederationCup uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. Kwa matokeo hayo sasa Yanga wanatinga hatua ya nusu fainali ambapo watakutana na Biashara United kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
"Kaze Yanga hii Noma" Magoli yote Yanga sc vs Mwadui fc 5-0 #YANGAVSMWADUI #YANGASCVSMWADUIFC #MWADUIVSYANGA #MWADUIFCVSYANGASC #YANGASC #MWADUIFC #YANGA #MWADUI #DeusKaseke #Yacouba #lamilemoro
#Yangasc#Mwadui#LigikuuTanzania#MwaduiVsYanga#KambarageStadium 🔴#LIVE MWADUI FC VS YANGA SC