LIVE - BUILD UP,  DODOMA JIJI VS GWAMBINA, MWADUI VS YANGA NA POLISI VS RUVU - VPL 12/12/2020
LIVE - BUILD UP, DODOMA JIJI VS GWAMBINA, MWADUI VS YANGA NA POLISI VS RUVU - VPL 12/12/2020

Mtibwa Sugar wameitandika KMC bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Goli pekee la Mtibwa limefungwa na Salum Kihimbwa dakika ya 20. Huu ni uchambuzi baada ya mechi hiyo. Usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: â–º https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Tazama highlights Mtibwa Sugar ilivyokandamiza Mwadui FC 1-0 - VPL 06/12/2020
Tazama highlights Mtibwa Sugar ilivyokandamiza Mwadui FC 1-0 - VPL 06/12/2020

Timu ya Mtibwa Sugar leo imefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC, goli pekee likifungwa na Riphat Khamis Msuya dakika ya 7. Ni mechi ya ligi kuu Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Prisons ilivyoikaanga Mwadui (2-0) - VPL 29/11/2020
Highlights | Prisons ilivyoikaanga Mwadui (2-0) - VPL 29/11/2020

Ikiwa katika dimba lake la nyumbani, Tanzania Prisons iliikaanga Mwadui kwa jumla ya mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli ya kibabe Prisons ikiifumua Mwadui (2-0) - VPL 29/11/2020
Magoli ya kibabe Prisons ikiifumua Mwadui (2-0) - VPL 29/11/2020

Tazama Tanzania Prisons ilivyonyakua ponti tatu kwa kufunga magoli ya kibabe kwenye mchezo wa VPL dhidi ya Mwadui FC Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: â–º https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE:  BUILD UP KUELEKEA MECHI VPL PRISONS VS MWADUI, RUVU SHOOTING VS KAGERA - VPL 29/11/2020
LIVE: BUILD UP KUELEKEA MECHI VPL PRISONS VS MWADUI, RUVU SHOOTING VS KAGERA - VPL 29/11/2020

Uchambuzi kuelekea mechi tatu za VPL za leo kati ya Prisons Vs Mwadui, Ruvu Shooting Vs Kagera Vs Polisi Ungana na Hasheem Ibwe akiwa na wachambuzi Ally Mayay na Dominick Salamba kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho, Afrika, kati ya Namungo FC ya Tanzania dhidi ya Al Rabita ya Sudan Kusin.



Magoli saba | Mwadui FC 3-4 Gwambina FC - VPL 25/11/2020
Magoli saba | Mwadui FC 3-4 Gwambina FC - VPL 25/11/2020

Mwadui Fc imechezea kichapo cha mabao 4-3 kutoka kwa Gwambina FC kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Mwadui Complex mkoani Shinyanga. Magoli ya Gwambina yamefungwa na Jimson Stephen, Meshack Abraham na Jacob Masawe ambaye amefunga mawili wakati magoli ya Mwadui yakifungwa Herman Masenga, Salum Chubi na Ismail Ally. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: â–º https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Kagera Sugar 1-0 Mwadui FC  | Highlights  - VPL 22/11/2020
Kagera Sugar 1-0 Mwadui FC | Highlights - VPL 22/11/2020

Kagera Sugar imeitandika Mwadui Fc bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Goli pekee la Kagera limefungwa na Hassan Mwaterema dakika ya 63. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: â–º https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ â–ºINSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ â–ºTWITTER: https://twitter.com/azamtvtz â–ºFACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz â–ºWEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Shot Goals  #Paul Pogba  #Football Skills  #Michael Jordan  #Best Goalkeeper Saves  #Kyrie Irving  #Football Defensive Skills  #Best Goals  #Los Angeles Lakers  #Golden State Warriors  

Popular Users

#JJWatt  #JohnCena  #TheCUTCH22  #TheChristinaKim  #si_vault  #AntDavis23  #SrBachchan  #Harry_Styles  #darrenrovell  #nytimes  #rihanna  #PMOIndia  #WWE  #realmadrid