Tazama namna mambo yalivyokuwa wakati Mbeya City ikiichapa Mwadui FC 1-0, kwenye hekaheka za VPL. Goli hilo lilifungwa na Juma Shemvuni Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Goli pekee la Nzigamasabo Styve limeipa Namungo FC pointi tatu muhimu dhidi ya Mwadui FC, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Mwadui Complex . Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tazama magoli yote Biashara United, Mara ikifanya maajabu ndani ya dakika za nyongeza kwa kusawazisha na kuongeza bao la ushindi ikichapa Mwadui FC mabao 1-2. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Baada ya kuukosa ushindi katika mechi kumi zilizopita, hatimaye Mwadui FC imepata ushindi wake wa kwanza ukiwa ni wa nne kwenye VPL msimu huu, ikiichapa Dodoma Jiji FC bao 1-0. Mfungaji wa bao hilo ambalo ndilo la kwanza kwa mwaka 2021 ni Wallece Kiango dakika ya 87. Tazama Highlights. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tazama jinsi Mwadui FC walivyopambana na Wagosi wa kaya, Coastal Union na kulazimishwa suluhu katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga, Desemba 22, 2020 Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
MWADUI FC 1-1 POLISI TANZANIA: Mwadui FC imepata sare yake ya kwanza baada ya kupoteza mechi tano mfululizo, ikifungana bao 1-1 na Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga. Magoli yamefungwa na Daruesh Saliboko, huku Mwadui wakisawazisha dakika ya 90 kupitia kwa Salum Chubi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz