KAULI YA KICHUYA BAADA YA SIMBA KUIFUNGA NAMUNGO 1-0
KAULI YA KICHUYA BAADA YA SIMBA KUIFUNGA NAMUNGO 1-0

Mara baada ya mchezo wa Simba SC dhidi ya Namungo FC kumalizika kwa Simba SC kupata ushindi wa goli 1-0, tuli pata nafasi ya kuongea na Shiza Kichuya wa Namungo FC ambaye amesikitishwa na matokeo ya mchezo huo.



SHIZA KICHUYA NA ABDULAZIZ MAKAME WA NAMUNGO WAELEZA CHANZO CHA KIPONDO KUTOKA AZAM FC/WASIKIE HAPA
SHIZA KICHUYA NA ABDULAZIZ MAKAME WA NAMUNGO WAELEZA CHANZO CHA KIPONDO KUTOKA AZAM FC/WASIKIE HAPA

Nyota wawili wa kundanda Shiza Ramadhan Kichuya na Abdulaziz Makame 'Bui', wameeleza sababu za timu yao ya Namungo FC kufungwa bao dakika za mwisho na kupoteza 1-0 mchezo wa NBC Premier League dhidi ya wenyeji Azam FC uliochezwa leo Oktoba 19, 2021, Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. #AzamFCvsNamungo #ShizaKichuya #AbdulazizMakame #NBCPremierLeague #MpenjaTV



KICHUYA Aimwagia SIFA SIMBA Kuifunga AL AHLY, Atoa KAULI ya KIBABE Kuhusu NAMUNGO KUFUZU...
KICHUYA Aimwagia SIFA SIMBA Kuifunga AL AHLY, Atoa KAULI ya KIBABE Kuhusu NAMUNGO KUFUZU...

KICHUYA Aimwagia SIFA SIMBA Kuifunga AL AHLY, Atoa KAULI ya KIBABE Kuhusu NAMUNGO KUFUZU... KIKOSI cha klabu ya Namungo leo kimefanikiwa kutinga hatua ya Makundi ya kombe la Shirikisho Afrika, licha ya kupokea kipigo cha mabao (3 - 1) kutoka kwa Club Desportivo 1º de Agosto ya Angola. Namungo wamefanikiwa kutinga hatua hiyo kwa matokeo ya jumla ya ushindi wa mabao 7-5, kufuatia ushindi wa mabao (6 - 2) walioupata katika mchezo wa kwanza uliopigwa Februari 21, mwaka huu. Namungo sasa inajiunga na timu za Raja Club Athletic ya Morocco, Pyramid FC ya Misri na Nkana FC ya Zambia kukamilisha timu nne za kundi D la michuano hiyo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



PART 2: Hali ya kikosi cha Namungo FC nchini Angola baada ya mechi kufutwa
PART 2: Hali ya kikosi cha Namungo FC nchini Angola baada ya mechi kufutwa

Hali ilivyokuwa baada ya saa 18 tangu kikosi cha Namungo FC kiwasili nchini Angola na baada ya uamuzi wa CAF kuufuta mchezo wao dhidi Primeiro de Agosto. Wachezaji wanasema hakupata chakula chochote tangu kuwasili kwao Zaidi ya maji na matunda, wanasema wameteseka na kupitia wakati mgumu. Shiza Kichuya, Idd Kipagwile, Jonathan Nahimana, Sixtus Sabilo, na viongozi wa timu hiyo wameeleza kilichowakuta. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Namungo FC 3-0 Al Rabita SC  - CAFCC 28/11/2020
Highlights | Namungo FC 3-0 Al Rabita SC - CAFCC 28/11/2020

Namungo FC imeanza vizuri mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFCC kwa kuichapa Al Rabita ya Sudan Kusini mabao 3-0. Magoli ya Namungo yamefungwa na Stephen Sey aliyefunga mawili huku la tatu likifungwa na Shiza Kichuya. Tazama magoli. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli ya Namungo ikiibomoa Al Rabita 3-0 - CAF CC 28/11/2020
Magoli ya Namungo ikiibomoa Al Rabita 3-0 - CAF CC 28/11/2020

NAMUNGO 3-0 AL RABITA: Namungo FC imeanza vizuri mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFCC kwa kuichapa Al Rabita ya Sudan Kusini mabao 3-0. Magoli ya Namungo yamefungwa na Stephen Sey aliyefunga mawili huku la tatu likifungwa na Shiza Kichuya. Tazama magoli. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



MAPOVU ya Mashabiki wa SIMBA Baada Kufungwa na JKT Tanzania
MAPOVU ya Mashabiki wa SIMBA Baada Kufungwa na JKT Tanzania

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na JKT Tanzania umekamilikwa kwa Simba kubanwa mbavu kwa kufungwa bao 1-0. Bao pekee la ushindi limefungwa na Adam Adam dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza ambalo limedumu mpaka mwisho wa kipindi. Nyota wapya wa Simba, Luis na Shiza Kichuya wameanza leo kwa mara ya kwanza. Mashabiki wamejitokeza kushuhudia ushindani uliopo kwani leo ni mechi ya kisasi. Mchezo wa kwanza walipokutana Simba ilishinda mabao 3-1 na leo kisasi kimelipwa kwa JKT kushinda bao 1-0. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars




« Previous Next »


Popular Tags

#Michael Jordan  #Kobe Bryant  #Luis Suarez  #Chicago Bulls  #Thomas Muller  #Lionel Messi  #Sergio Aguero  #Miami Heat  #David Silva  #Shaquille O'Neal  

Popular Users

#DanicaPatrick  #Buster_ESPN  #billbarnwell  #richarddeitsch  #BMcCarthy32  #steveaustinBSR  #LilTunechi  #AdamSchefter  #ArianaGrande  #TheEllenShow  #JJWatt  #nytimes  #josecanseco  #themichaelowen  #espn