Simba SC vs JKT Tanzania, Tazama Mnyama Alivyopasha Misuli (Warm up)
Simba SC vs JKT Tanzania, Tazama Mnyama Alivyopasha Misuli (Warm up)

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1 #simbasc #kichuya



Cheki mazoezi ya Shiza Kichuya baada ya mechi ya Mwadui, Kazi imeanza
Cheki mazoezi ya Shiza Kichuya baada ya mechi ya Mwadui, Kazi imeanza

SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU https://bmtvtanzania.com/ INSTAGRAM https://www.instagram.com/bmtvtanzania FACEBOOK https://www.facebook.com/bmtvtanzania TWITTER https://twitter.com/bmtvtanzania1



Uchambuzi  Simba Dhidi Ya Mwadui ,Kichuya kuanza"itakuwa mechi Nzuri"Simba wanachukua kombe la FA
Uchambuzi Simba Dhidi Ya Mwadui ,Kichuya kuanza"itakuwa mechi Nzuri"Simba wanachukua kombe la FA

Uchambuzi Kikosi Cha Simba Dhidi Ya Mwadui ,Kichuya kuanza"itakuwa mechi Nzuri"Simba wanachukua kombe la AFA



MANARA : SIMBA YA KWANZA AFRICA /TUNAHITAJI WACHEZAJI WA GHARAMA  KUBWA.
MANARA : SIMBA YA KWANZA AFRICA /TUNAHITAJI WACHEZAJI WA GHARAMA KUBWA.

Mabadiriko ya uwanja utakaotumika katika mechi kati ya simba na Mwadui, Yametajwa na manara wakati akizungumza na waandishi wa habari. hata hivyo timu hizo zinakutana zikiwa na kumbukumbu ya simba kufungwa Goli 1:0 na Mwadui, lakini Simba inaibuka na kusema lazima ilipe kisasi. fuatilia mechi hiyo kupitia channel hii na usisahau kuSUBSCRIBE. #SIMBAVSMWADUI #MANARA #UWANJAWATAIFA Baada ya kuvuna pointi sita muhimu katika michezo miwili ya Ligi Kuu Bara huko Kanda ya Ziwa, kikosi cha Simba jana kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa Kombe la FA, huku kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya akiwemo kati yao. Simba inajianda na mechi ya Mwadui FC ya mkoani Shinyanga itakayopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Jumamosi hii. Katika mchezo huo, Simba wataingia uwanjani wakiwa na hasira za kufungwa katika mchezo wa ligi uliopigwa Uwanja wa Kambarage huko Shinyanga ambao ulimalizika kwa Mwadui kushinda bao 1-0. Akizungumza na Championi Jumatano, Meneja Mkuu wa timu hiyo, Patrick Rweyemamu alisema kuwa kikosi chao kitaingia kambini leo jioni huko Ndege Beach nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Rweyemamu alisema kuwa maandalizi ya mchezo huo yanakwenda vizuri na wachezaji wote wataingia kambini tayari kwa kuwawinda Mwadui kwa ajili ya kulipa kisasi cha kufungwa katika ligi. Aliongeza kuwa kiungo wao wa zamani Kichuya huenda akawa katika sehemu ya wachezaji watakaoingia kambini baada ya hivi karibuni kusaini mkataba wa kuichezea Simba. “Kesho (jana), timu yetu itaingia kambini rasmi huko Ndege Beach tulipoweka kambi ya kudumu katika msimu huu kujiandaa na mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Mwadui. “Tunafahamu umuhimu mkubwa wa kombe hili, hivyo ni lazima timu yetu ipate matokeo mazuri ili tuendelee na mashindano hayo na mwisho wa siku tuweze kuchukua kombe hilo. “Maandalizi yanakwenda vizuri na timu yetu na wachezaji wote wataingia kambini kujiandaa na mchezo huo, pia Kichuya huenda akawa sehemu ya wachezaji watakaoingia kambini kama atakuwa amekamilisha baadhi ya vitu vyake kati yake na uongozi baada ya kusaini mkataba Simbva,” alisema Rweyemamu ambaye ni miongoni mwa wanachama wanaoaminika sana na uongozi wa juu wa Simba. SIMBA INATAKA KUWEKA REKODI




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Shot Goals  #Goal Celebrations  #Lionel Messi  #Football Defensive Skills  #Counter Attack Goals Football  #Michael Jordan  #Sergio Aguero  #Stephen Curry  #Thomas Muller  

Popular Users

#floydmayweather  #criscyborg  #jadande  #josecanseco  #SteveNash  #KDTrey5  #realmadrid  #wizkhalifa  #TheRealJRSmith  #rihanna  #hunterpence  #KylieJenner  #tigerwoods  #britneyspears