Content removal request!


PART 2: Hali ya kikosi cha Namungo FC nchini Angola baada ya mechi kufutwa

Hali ilivyokuwa baada ya saa 18 tangu kikosi cha Namungo FC kiwasili nchini Angola na baada ya uamuzi wa CAF kuufuta mchezo wao dhidi Primeiro de Agosto. Wachezaji wanasema hakupata chakula chochote tangu kuwasili kwao Zaidi ya maji na matunda, wanasema wameteseka na kupitia wakati mgumu. Shiza Kichuya, Idd Kipagwile, Jonathan Nahimana, Sixtus Sabilo, na viongozi wa timu hiyo wameeleza kilichowakuta. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz