Mpenja TV tumefanya mahojiano na Mchambuzi mahiri wa Azam TV, Ally Kamwe, akizungumzia kiwango cha Simba katika mchezo wa leo Desemba 5, 2021 dhidi ya Red Arrows ambao umechezwa uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka, Zambia. FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #Allykamwe #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv
JE, UNA JAMBO LAKO? USILIFICHE! 🌍 Kuwa wa kwanza kutujuza habari, matukio, au matangazo kupitia MPENJA TV. Sisi tupo hapa kwa ajili yako! 🔴 TUPIGIE/WHATSAPP: +255 748 101 101 📞 SIMU: +255 686 816 895 | +255 686 715 249 📧 EMAIL: mpenjatvtz@gmail.com