Shangwe la Mashabiki wa Klabu ya Simba Sc baada ya kutinga hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika licha ya kupoteza Mchezo kwa Magoli mawili kwa moja ambapo mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mashujaa Lusaka, Zambia FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #KochaPablo #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv