Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Pablo Franco amezungumza na wanahabari baada ya kutinga hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika licha ya kupoteza Mchezo kwa Magoli mawili kwa moja mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mashujaa Lusaka, Zambia FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #KochaPablo #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv
JE, UNA JAMBO LAKO? USILIFICHE! 🌍 Kuwa wa kwanza kutujuza habari, matukio, au matangazo kupitia MPENJA TV. Sisi tupo hapa kwa ajili yako! 🔴 TUPIGIE/WHATSAPP: +255 748 101 101 📞 SIMU: +255 686 816 895 | +255 686 715 249 📧 EMAIL: mpenjatvtz@gmail.com