Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Leo Januari 14 kikosi cha Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi Simba Sc kimerejea Jijini Dar es Salam na Kombe ambalo wameshinda kwenye Mchezo wa Fainali dhidi ya Azam Fc.. Fungua Video hii kupata habari kamili... #Kombela Mapinduzi #Ubingwawa Mapinduzi #simbaSC
MCHEZAJI MLANDEGE "SIMBA SC WALITUSUMBUA SANA KATIKATI, MABEKI TULIJIANDAA"....
MCHEZAJI MLANDEGE: TULIPEWA MANENO MENGI YA KUJIKAZA/ SIMBA WANAJIAMINI....
Leo Januari 1 2021 Ligi kuu ya NBC Inaendelea kwa mchezo kati ya Simba Sc akiwa mwenyeji akiwakaribisha Azam Fc katika Dimba la Benjamin Mkapa majira ya Saa 1:00 usiku.. Fuatilia Mpenja Tv kupata matukio yote yatakayojiri katika mchezo huuโฆ #AzamFc #simbasc #nbcpremierleague #ligikuuyanbc #mpenjatv
Leo Desemba 31, ni funga mwaka 2021, Mpenja TV ipo uwanja wa Benjamin Mkapa kukuletea Habari zote moto moto za mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya NBC kwa mwaka 2021 kati ya Vinara Yanga SC na Walima Zabibu, Dodoma Jiji FC. Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Golikipa wa Dodoma Jiji Hussein Salum Masalanga ambaye amefunguka kiwango alichokionyesha Mayele na Aucho msikie hapa.. #YangaSCVsDodomaJiji #Yanga #DodomaJijiFC #FungaMwaka2021 #NBCPremierLeague #MpenjaTV
Ebwanah eeh๐ฅ๐ฅ๐ฅ kumbe Simba Sc wana jambo lao Usajili dirisha dogo wanafanya mambo yao kimya kimya. Msikie Shabiki na Mwanachama wa klabu ya Simba Sc Justin Mwakitalima akitema cheche hapa kuhusu usajili dirisha hili dogo kwa upande wa klabu yao vipi mbona kimya? #mwakitalima #usajilisimba #simbasc #tetesizausajili #MpenjaTv
Mpenja Tv ipo Mkoani Kagera kukusogezea matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Kagera dhidi ya Simba. . Licha ya mechi hiyo kuahirishwa Kagera sugar watua uwanja wa kaitaba. . Fungua video hii kupata habari kamili. #kagerasugar #simbasc #mpenjatv
Leo Disemba 12 Ligi kuu ya NBC Imeendelea, Azam Fc wakiwakaribisha 'WANANKURUKUMBI' Kagera Sugar katika dimba la Azam Complex Chamazi na mchezo umemalizika kwa suluhu ya 0-0 #AzamFc #LigikuuyaNBC #KageraSugar #MpenjaTv
Leo October 27 ,2022 Unashuhudiwa Mchezo wa Mzizima Dabi Baina ya Azam FC Dhidi Ya Simba SC Mchezo Unaopigwa ...

Leo Tarehe 23/10/2022 ni siku ya kushuhudia mbungi ya kukata na Shoka inayowakutanisha Watani wa Jadi,Watoto wa kariakoo ...