Mpenja TV tumefanya mahojiano na Mchambuzi mahiri wa Azam TV, Ally Mayay Tembele, akizungumzia kiwango cha Simba, Ubora wa Simba Sc katika mchezo wa leo Desemba 5, 2021 dhidi ya Red Arrows ambao umechezwa uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka, Zambia. FT: Red Arrows 2-1 Simba (Aggregate 2-4). #Allykamwe #CafCC #HassanDilunga #SimbaSc #RedArrows #MpenjaTv