Content removal request!


RED ARROWS VS SIMBA SC DAKIKA 45 ZA MWANZO WAMEKUBALI KUPIGWA GOLI MOJA....

Leo Desemba 5, 2021, Mnyama Simba yupo ugenini mjini Lusaka kucheza mechi ya marudiano ya hatua ya mtoano ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji Red Arrows FC. Hizi hapa mbwembwe za mashabiki wa Simba baada ya kufuzu hatua ya makundi. #SimbaSC #MashabikiWaSimba #RedArrowsVsSimba #Magazeti #MpenjaTV