Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Leo March 07/2022 Ligi Kuu ya NBC Inaendelea 🏟Katika Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam 🔥🔥ni Vita ya Mabingwa watetezi Simba Sc dhidi ya Wakulima wa Zabibu Dodoma Jiji. Itakuwaje leo Chama, Sakho Kufanya kama walivyofanya Dhidi ya Biashara United???. Tusubiri Kipute Dakika 90 Kuamua mechi…. Mpenja Tv tupo hapa Benjamin Mkapa Kukuletea kila nukta ya jambo litakalojitokeza kwenye mchezo huu.... Baki na sisi, Asante kwa Kutuchagua Mpenja Tv #SimbaScVsDodomaJiji #DodomaJiji #SimbaSc #MpenjaTv

Ligi Kuu ya NBC Leo March 05/2022 imeendelea Uwanja wa Chamazi Complex kati ya Wenyeji Azam Fc wakiwakaribisha Polisi Tanzania Mpaka Dakika 90 zinatamatika Azam Fc 0 vs Polisi Tanzania 1 Goli la Polisi Tanzania Likiwekwa kambani na Khamis Haruna... Mpenja Tv tumekusogezea hapa baadhi ya Matukio yaliyojiri Baada ya Mchezo... #NBC #AzamFCVsPolisiTanzania #AzamFc #PolisiTanzania #MpenjaTv
Leo March 04 2022 Mpenja Tv Tupo Uwanja wa Benjamin Mkapa Kukuletea Matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Simba Sports Club dhidi ya Biashara United. . Fungua video hii kupata habari kamili. . #SimbaScVsBiasharaUnited #simbasc #biasharaunited #mpenjatv
Leo March 01, 2022 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 19:00 Usiku kuminyana na Coastal Union kutoka Tanga katika Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Mpenja TV tumekita Kambi katika Uwanja wa Chamazi Kukuletea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza hapa #MpenjaTv #AzamFcVsCoastalUnion #Nbc

Kikosi cha Simba SC kimewasili Jijini Dar Es Salaam Alasiri ya leo Machi 1, 2022 kikitokea Nchini Morocco ambako kilipoteza mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya wenyeji RS Berkane kikifungwa 2-0. Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametamba kwamba sasa RS Berkane wajiandae kuvuta pumzi ya moto kwa Benjamin Mkapa Machi 13, mwaka huu. #SimbaSC #AhmedAlly #MpenjaTV
Leo Novermber 15, 2022 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 19:00 Usiku kuminyana na Ruvu Shooting kutoka ...

Kikosi cha Yanga kimetua leo asubuhi kutoka mkoani Mwanza kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzani bara dhidi ya Kagera sugar ...
Ni Jumapili ya Tarehe 13/11/2022 ambapo katika Dimba la CCM Kirumba inapigwa Mbugi kati ya Kagera Sugar dhidi ya Yanga ...

Mpenja Tv tumekuletea mahojiano na shabiki wa Simba Sc Kay Mziwanda baada ya ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Ihefu Fc.