UTACHEKA! SIKIA TAMBO ZA SHABIKI WA COASTAL UNION MAKANYAGA BAADA YA KUPATA SARE CHAMAZI by @Mpenja TV - Post Details

UTACHEKA! SIKIA TAMBO ZA SHABIKI WA COASTAL UNION MAKANYAGA BAADA YA KUPATA SARE CHAMAZI

Leo March 01, 2022 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 19:00 Usiku kuminyana na Coastal Union kutoka Tanga katika Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Mpenja TV tumekita Kambi katika Uwanja wa Chamazi Kukuletea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza hapa #MpenjaTv #AzamFcVsCoastalUnion #Nbc

Similar Posts!