Ligi Kuu ya NBC Leo March 05/2022 imeendelea Uwanja wa Chamazi Complex kati ya Wenyeji Azam Fc wakiwakaribisha Polisi Tanzania Mpaka Dakika 90 zinatamatika Azam Fc 0 vs Polisi Tanzania 1 Goli la Polisi Tanzania Likiwekwa kambani na Khamis Haruna... Mpenja Tv tumekusogezea hapa baadhi ya Matukio yaliyojiri Baada ya Mchezo... #NBC #AzamFCVsPolisiTanzania #AzamFc #PolisiTanzania #MpenjaTv