Content removal request!


UTACHEKA! SIKIA TAMBO ZA SHABIKI WA COASTAL UNION MAKANYAGA BAADA YA KUPATA SARE CHAMAZI

Leo March 01, 2022 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 19:00 Usiku kuminyana na Coastal Union kutoka Tanga katika Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Mpenja TV tumekita Kambi katika Uwanja wa Chamazi Kukuletea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza hapa #MpenjaTv #AzamFcVsCoastalUnion #Nbc