Mpenja Tv tumekuletea mahojiano na shabiki wa Simba Sc Kay Mziwanda baada ya ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Ihefu Fc.