Mpenja tv tumefanya mahojiano na msemaji wa Fountein gate princess ambaye pia ni shabiki mkubwa wa Simba Kay Mziwanda, kubwa ni kuhusu mchezo wa jumamosi Coastal Union dhidi ya Simba utakao pigwa jijini Tanga. Mziwanda hakuwacha mbali watani zake kuhusu swala la unbeaten kuvunjika pamoja na mbio za kupambania ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara