Content removal request!


AGGY SIMBA: "TUNAIMANI NA TIMU YETU/CHAMA AMERUDI/BOCCO WATAFANYA MAKUBWA/HAKUNA KAMA BOCCO BONGO"

Leo ndiyo leo, 'WANA KOMA KUMWANYA' Mbeya City wanawakaribisha Simba Sc katika Dimba la CCM kumbukumbu ya Sokoine Mkoani Mbeya. . NB: Mpenja Tv tupo Mjini Mbeya kukuletea matukio yote yanayojiri kwenye mtanange huu kabla na baada ya mbungi hili. . Fungua video hii kupata habari kamili.