Content removal request!


GHARIB MZINGA: "NANI ALIWAKATIA TAMAA WANANCHI/BANGALA KAFUNGA GOLI ZURI/MAZUNGUMZO YA NABI NA KAMWE

Ni Vita isiyoumiza ya ligi kuu ya NBC kati ya Wauaji wa Kusini Namungo Fc dhidi ya Wananchi Yanga Sc,Inayopigwa leo Jumatano ya Tarehe 7/12/2022 Katika Dimba la Majaliwa wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi,Saa Moja Usiku.