Hii ni baada ya kutamatika kwa mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga Sc na Mbeya City katika uwanja wa Benjamin Mkapa,Yanga wao wakifanikiwa kuondoka na ushindi wa goli 2-0 magoli yote yakifungwa na Fiston Mayele ambae mpaka sasa ana jumla ya goli 10. Haya hapa ni mahojiano na Meneja wa Habari na Mawasiliano Yanga pamoja na mashabiki baada ya mchezo kuisha. Kujua mengi zaidi tazama video hii kufahamu…