KAY MZIWANDA: TUMESHAKAMILISHA USAJILI WA WACHEZAJI WAWILI/ AKICHEZA SIMBA, ANAJULIKANA KIMATAIFA.. by @Mpenja TV - Post Details

KAY MZIWANDA: TUMESHAKAMILISHA USAJILI WA WACHEZAJI WAWILI/ AKICHEZA SIMBA, ANAJULIKANA KIMATAIFA..

Mpenja tv tumefanya mahojiano na msemaji wa Fountein gate princess ambaye pia ni shabiki mkubwa wa Simba Kay Mziwanda, kubwa ni kuhusu mchezo wa jumamosi Coastal Union dhidi ya Simba utakao pigwa jijini Tanga. Mziwanda hakuwacha mbali watani zake kuhusu swala la unbeaten kuvunjika pamoja na mbio za kupambania ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara

Similar Posts!

MPENJA AUKATAA UNAFIKI KWEUPE! AFUNGA MJADALA WA CHAMA NA OKELLO/AISIFIA YANGA KWA UJENZI WA UWANJA.
MPENJA AUKATAA UNAFIKI KWEUPE! AFUNGA MJADALA WA CHAMA NA OKELLO/AISIFIA YANGA KWA UJENZI WA UWANJA.

JE, UNA JAMBO LAKO? USILIFICHE! ๐ŸŒ Kuwa wa kwanza kutujuza habari, matukio, au matangazo kupitia MPENJA TV. Sisi tupo hapa kwa ajili yako! ๐Ÿ”ด TUPIGIE/WHATSAPP: +255 748 101 101 ๐Ÿ“ž SIMU: +255 686 816 895 | +255 686 715 249 ๐Ÿ“ง EMAIL: mpenjatvtz@gmail.com

FEI TOTO: "CHAMA ALIFUNGA GOLI ZURI SANA/MIMI MWENYEWE NIMELIPENDA"