Content removal request!


SHANGWE! MASHABIKI WA SIMBA UWANJA WA SOKOINE/"NASIKIA KELELE UKO WANALIA/BOCCO/GARI YA MKAA IMEWAKA

Leo ndiyo leo, 'WANA KOMA KUMWANYA' Mbeya City wanawakaribisha Simba Sc katika Dimba la CCM kumbukumbu ya Sokoine Mkoani Mbeya. . NB: Mpenja Tv tupo Mjini Mbeya kukuletea matukio yote yanayojiri kwenye mtanange huu kabla na baada ya mbungi hili. . Fungua video hii kupata habari kamili.