ALLY KAMWE AJIBU MAPIGO YA AHMED ALLY/"SAFARI HII HATUTOI KIKI KWA MTU/HATA KWA BAISKELI TUTAKWENDA. by @Mpenja TV - Post Details

ALLY KAMWE AJIBU MAPIGO YA AHMED ALLY/"SAFARI HII HATUTOI KIKI KWA MTU/HATA KWA BAISKELI TUTAKWENDA.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe amezungumza namna Timu inavyoendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AL Merrikh ya Sudan,utakaochezwa Sept 16,2023 Uwanja wa Pele Kigali Rwanda. Kamwe amesema yapo Mabasi 24 kutoka Mikoa mbalimbali yatakayopeleka Mashabiki wa Yanga Rwanda,yakiwemo Mabasi ya Viongozi ambayo hadi sasa mawili yameshajaa,Basi la Rais wa Timu Eng. Hersi Said na Makamu wake Arafat Ally Haji.

Similar Posts!

ENG HERSI SAID AWAPA POLE JOB,KIBABAGE,MSHERY KWA KUIFUNGA MTIBWA/WAKATAFUTE ALAMA TATU KWINGINE
ENG HERSI SAID AWAPA POLE JOB,KIBABAGE,MSHERY KWA KUIFUNGA MTIBWA/WAKATAFUTE ALAMA TATU KWINGINE

Leo Mei 13,2024 Mtibwa Sugar inashuka Dimba la Manungu Turiani kumenyana na Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC,,Saa 10 jioni.



ALLY KAMWE" NI TAISHANGILIA SIMBA NA AZAM KWA MARA YA KWANZA/ENG HERSI KAJA NA VITU VIZITO KU
ALLY KAMWE" NI TAISHANGILIA SIMBA NA AZAM KWA MARA YA KWANZA/ENG HERSI KAJA NA VITU VIZITO KU

Leo May 08,2024 katika uwanja wa Azam complex kutachezwa mchezo mmoja wa NBC PREMIER LEAGUE ambao utazikutanisha Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar



ALLY KAMWE"JOBE NI HAALAND MTUPU/ANA MIKIMBIO NA MIDONDOKO/NIMEPENDEKEZA MSIMU UJAO AJE YANGA
ALLY KAMWE"JOBE NI HAALAND MTUPU/ANA MIKIMBIO NA MIDONDOKO/NIMEPENDEKEZA MSIMU UJAO AJE YANGA

Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Kamwe, amezungumza na Mpenja TV na kuelezea Mipango ya Timu yake kuelekea katika Mchezo wa CRDB Federation Cup Dhidi ya Dhidi ya Tabora United Mchezo ambao utachezwa May 1,2024 katika uwanja wa Azam Complex Pia Ally Kamwe amegusia kuhusu tetesi za Mchezaji wao Pacome Zouzoua na kuweka wazi kinachoendelea mpaka sasa.