HASHEEM IBWE AWAPONGEZA SIMBA/AWAVAA MASHABIKI WA YANGA WALIOMZOMEA FEITOTO/"ANAPENDA SANA KUZOMEWA" by @Mpenja TV - Post Details

HASHEEM IBWE AWAPONGEZA SIMBA/AWAVAA MASHABIKI WA YANGA WALIOMZOMEA FEITOTO/"ANAPENDA SANA KUZOMEWA"

Leo August 13 2023,katika Dimba la Mkwakwani jijini Tanga inapigwa mbungi ya Fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kati ya Yanga SC na Simba SC,Saa Moja Usiku. Huku majira ya Saa 9 Alasiri ukupigwa Mchezo wa Kutafuta Mshindi wa 3 kati ya Azam FC dhidi ya Singida Fountain Gate FC Mpenja TV tunakuletea taarifa za matukio yote yatakayojiri kwenye mbungi hiyo.

Similar Posts!