Content removal request!


ALLY KAMWE AJIBU MAPIGO YA AHMED ALLY/"SAFARI HII HATUTOI KIKI KWA MTU/HATA KWA BAISKELI TUTAKWENDA.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe amezungumza namna Timu inavyoendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AL Merrikh ya Sudan,utakaochezwa Sept 16,2023 Uwanja wa Pele Kigali Rwanda. Kamwe amesema yapo Mabasi 24 kutoka Mikoa mbalimbali yatakayopeleka Mashabiki wa Yanga Rwanda,yakiwemo Mabasi ya Viongozi ambayo hadi sasa mawili yameshajaa,Basi la Rais wa Timu Eng. Hersi Said na Makamu wake Arafat Ally Haji.