ALLY KAMWE: "KOCHA AMETUOMBA MSAMAHA KWA USHINDI MDOGO/KUNA MTU ATAPIGWA 10/TUMEZINDUA LIGI" by @Mpenja TV - Post Details

ALLY KAMWE: "KOCHA AMETUOMBA MSAMAHA KWA USHINDI MDOGO/KUNA MTU ATAPIGWA 10/TUMEZINDUA LIGI"

Leo Agosti 23 kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi Bingwa Mtetezi wa Ligi Kuu ya NBC Yanga Sc inamkaribisha KMC Fc Majira ya Saa 1:00 Usiku. Mpenja Tv tayari tumetia Timu kwaajili ya kukuletea Matukio yote kuhusu Mechi hiyo…

Similar Posts!