Mpenja TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe amewasili Dodoma kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB,utakaochezwa Saa 2:00 usiku,Uwanja wa Jamhuri.
Leo Machi 30,2024 Katika Dimba la Benjamin Mkapa inapigwa mbungi ya mkondo wa kwanza ya ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga SC na Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini,Saa 3:00 usiku.
Leo Machi 29,2024 Mnyama Simba SC anashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Al Ahl kutoka Misri katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika,Saa 3:00
Mtangazaji Mwandamizi wa soka nchini, Baraka Adson Lamsi Mpenja, maarufu Mwamba wa Umalila, Fahari ya Itete, Sauti ya Radi, amekutana na kufanya Mazungumzo maalumu na Watangazaji vinara wa kandanda kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga na Ayubu Hinjo. Wamezichambua mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Machi 29, Simba vs Al Ahly na Machi 30, Yanga vs Mamelodi Sundowns.
Mtangazaji kinara wa soka nchini, Baraka Mpenja, amefanya mazungumzo na Mtangazaji wa soka wa Azam Media LTD, Gharib Mohamed Ally Mzinga kuhusu Maisha yake ya nyuma lakini pia ikumbukwe leo ni kumbukizi ya kuzaliwa ya Mtangazaji machachari wa Soka Ghalibu Mzinga. Lakini pia Ghalibu mzinga ametoa mtazamo wake katika mechi ya ligi ya mabingwa Afrika kati ya Simba na Yanga kuwa zinaweza kufika hatua ya fainali katika mashindano hayo.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe aeleza namna ambavyo wamewapokea wapinzani wao Mamelodi Sundowns kwenye robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika na namna wanavyojipanga kumenyana nao Machi 30,2024 Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mtangazaji wa Soka kutoka Azam Media LTD,Gharib Mzinga ametoa mtazamo wake kuhusu wapinzani wa Yanga SC kwenye robo fainali ligi ya Mabingwa Afrika Mamelodi Sundowns na Wapinzani wa Simba SC,Al Ahly.
Leo March 08 2023,Yanga SC anamkaribisha AS Real Bamako kutoka Nchini Mali Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye ...
Leo March 08 2023,Yanga SC anamkaribisha AS Real Bamako kutoka Nchini Mali Katika Dimba la Benjamin Mkapa,kwenye ...
Moto Utawaka Uwanja wa Benjamin Mkapa ni Mchezo Mkubwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba Sc dhidi ya Vipers ...
Moto Utawaka Uwanja wa Benjamin Mkapa ni Mchezo Mkubwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba Sc dhidi ya Vipers ...
Ni kuelekea Mechi ya ligi ya Mabingwa Afrika Mnyama Simba Sc akiwa Nyumbani Uwanja Wa Benjamin Mkapa dhidi ya Vipers ...
Ni kuelekea Mechi ya ligi ya Mabingwa Afrika Mnyama Simba Sc akiwa Nyumbani Uwanja Wa Benjamin Mkapa dhidi ya Vipers ...
Leo kwenye Uwanja wa Uhuru Simba Sc amemkaribisha African Sports kwenye Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation ...
Mashabiki wa Yanga SC wajitokeza Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kuipokea Timu ikitokea Nchini Mali ...