Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally kamwe amewasili Dodoma kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB,utakaochezwa Saa 2:00 usiku,Uwanja wa Jamhuri.
Leo Aprili 13,2024 Wajukuu wa Mbogo maji Ihefu SC wanamualika Mnyama Simba SC katika Uwanja wa CCM LITI Singida kumenyana mchezo wa ligi kuu ya NBC,Saa 10:00 jioni.