SIMBA PRO's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Simba pro tunafahamu kua Crecentius Magori yupo nchini Zambia kwaajili ya kumalizana na Joshua Mutale na Kelvin Kapumbu kwaajili ya kuboresha timu kuelekea msimu wa 2024/25 Kwa kulitambua hilo Leo tutakua tukiangazia zaidi mambo usiyoyafahamu kuhusiana na Kelvin Kapumbu, Mambo ambayo yatakupa picha ni mchezaji wa Aina gani na atakuja kuisaidia vipi Simba SC? KAMA UNAHITAJI KUUNGWA KWENYE GROUP LA SIMBA PRO TUMA UJUMBE KWA NAMBA 0626629644 TUWEZE KUKUPA UTARATIBU WA JINSI YA KUJIUNGA
Kuelekea mchezo mkubwa mchezo mgumu kwa Simba kaaika Robo fainali ya ligi ya mabingwa dcidi ya mabingwa wa muda lote wa Afrika klabu ya karne Al-ahly Dullah anakuja na tathmini ya kikosi ambacho kinapaswa kuanza dhidi ya Ahly katika mchezo huo kulingana na ubora wa kila mchezaji aliouonesha na Takwimu zake kiujumla JE UNASUMBULIWA NA MARADHI MBALIMBALI NA UMEKOSA SULUHISHO LA TATIZO LAKO? DOKTA ABDOUL Ana Malibu ya magonjwa yote sugu kama Kisukari Presha Vidonda vay tumbo Matatizo ya uzazi/Nguvu za Jaume Tezi Dume n.k anapatikana Kariakoo lakini anatuma dawa mikoani kote kwa uaminifu mkubwa mnoo..... Wasiliana nae kwa namba0747531853 Dullah Hassan napenda kuwakumbusha kua ili kujiunga na group letu la simba pro hakikisha unanchek kwa namba 0626629644 utaungwa na wenzio wallopo maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi ya Tanzania
Simba SC imewa suprise mashabiki wake leo hii siku ya mwisho wa Dirisha la usajili baada ya Kumtambulisha Pa Omar Jobe nota maya raia wa Gambia mwenye umri wa miaka 25 Kama Lawanda Dullah Hassan mchambuzi bora zaidi Tanzania memuelezea kwa kina nyota huyu historia yake ya Soka toka akiwa kwao nchini Gambia hadi sasa akiwa klabu yeke ya mwisho nchini Kaghastan Dullah Hassan napenda kuwakumbusha kua ili kujiunga na group letu la simba pro hakikisha unanchek kwa namba 0626629644 utaungwa na wenzio wallopo maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi ya Tanzania Tunadhaminiwa na NWAKA HARDWARE wauzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi wanapatikana Kariakoo mtaa wa kipata na Sikukuu Wasiliana nao kwa namba 0655155096 Pia mimi Dullah Hassan napenda kutoa Shukran kwa wanasimba Pro members waliotoa kidogo chao kwaajili ya kukamilisha ununuzi wa vifaa vya media yetu nasema Asanteni sana
Simba Pro tunakuletea Mambo usiyoyafahamu kuhusiana na Mshambuliaji anaetajwa kutua Simba katika dirisha hili la usajili Mambo hayo yatakufanya uweze kufahamu ubora wa nyota huyo pamoja na jinsi alivokua katika maisha yake ya Soka alikotoka kama utaona umepata kitu kimya basi usiache kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata video zetu Mtangazaji wako na mchambuzi naitwa Dullah Hassan. Tunadhaminiwa na NWAKA HARDWARE wauzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi wanapatikana Kariakoo mtaa wa kipata na Sikukuu Wasiliana nao kwa namba 0655155096 Pia mimi Dullah Hassan napenda kutoa Shukran kwa wanasimba Pro members waliotoa kidogo chao kwaajili ya kukamilisha ununuzi wa vifaa vya media yetu nasema Asanteni sana
Fabrice Ngoma ni kiungo mkabaji Raia wa DRC mwenye umri wa miaka (29) Nyota huyu inasemekana amemalizana na simba na muda wowote atatambulishwa kunako klabu hiyo. Simba pro tumekuletea mambo matano ya kutafahamu kupitia nyota huyu Ndugu wana simba naomba kuchukua fursa hii kuwaomba mchangie pesa kwaajili ya ununuzi wa vifaa kwaajili ya media yetu hii pendwa nawaomba mchangie gharama za kupata Camera na Vifaa vya sauti ili tuweze kuwafikia mashabiki watoe maoni yao Gharama za vifaa ni 3,000,000 Namba ya malipo ni 0626629644 tutafute kwa namba hio pia kwa biashara 🙏🙏🙏
Baada ya Simba kutangaza kutambulisha usajili wa Nyota Ismaël Sawadogo tumeona tukusogezee baadhi ya vitu ambavyo pengine bado hujavijua kuhusu Nyota huyu na Pengine haviongelewi Sana Kuwasiliana na 255Futball wasiliana na sisi kwa namba 0626629644 kwaajili ya matangazo au kutoa sapoti yako yoyote kuelekea Mabadiliko mapya #simbasc #simba #usajili #nguvumoja #soka #sftv #255futball #simbasctanzania
Jean Beleke nyota Raia wa DR Congo mwenye umri wa miaka 21 Ni mshambuliaji wa Kati mwenye uwezo mkubwa Sana. 255Futball tumekuja na historia yake ya maisha yake ya soka na kila kitu kumhusu pia tumegusia ubora wake #simbasc #simba #nguvumoja #usajili #soka #yanga #simbasctanzania #tetesi