Simba pro tunafahamu kua Crecentius Magori yupo nchini Zambia kwaajili ya kumalizana na Joshua Mutale na Kelvin Kapumbu kwaajili ya kuboresha timu kuelekea msimu wa 2024/25 Kwa kulitambua hilo Leo tutakua tukiangazia zaidi mambo usiyoyafahamu kuhusiana na Kelvin Kapumbu, Mambo ambayo yatakupa picha ni mchezaji wa Aina gani na atakuja kuisaidia vipi Simba SC? KAMA UNAHITAJI KUUNGWA KWENYE GROUP LA SIMBA PRO TUMA UJUMBE KWA NAMBA 0626629644 TUWEZE KUKUPA UTARATIBU WA JINSI YA KUJIUNGA