Baada ya Simba kutangaza kutambulisha usajili wa Nyota Ismaël Sawadogo tumeona tukusogezee baadhi ya vitu ambavyo pengine bado hujavijua kuhusu Nyota huyu na Pengine haviongelewi Sana Kuwasiliana na 255Futball wasiliana na sisi kwa namba 0626629644 kwaajili ya matangazo au kutoa sapoti yako yoyote kuelekea Mabadiliko mapya #simbasc #simba #usajili #nguvumoja #soka #sftv #255futball #simbasctanzania