Content removal request!


JEAN BALEKE ANAETAJWA KUTUA SIMBA/ FUNDI HASWA /UBORA WAKE NA NINI ATAKACHOKUJA KUKIONGEZA SIMBA

Jean Beleke nyota Raia wa DR Congo mwenye umri wa miaka 21 Ni mshambuliaji wa Kati mwenye uwezo mkubwa Sana. 255Futball tumekuja na historia yake ya maisha yake ya soka na kila kitu kumhusu pia tumegusia ubora wake #simbasc #simba #nguvumoja #usajili #soka #yanga #simbasctanzania #tetesi