Content removal request!


MAMBO MATANO USIYOYAJUA KUHUSU FABRICE NGOMA #simba

Fabrice Ngoma ni kiungo mkabaji Raia wa DRC mwenye umri wa miaka (29) Nyota huyu inasemekana amemalizana na simba na muda wowote atatambulishwa kunako klabu hiyo. Simba pro tumekuletea mambo matano ya kutafahamu kupitia nyota huyu Ndugu wana simba naomba kuchukua fursa hii kuwaomba mchangie pesa kwaajili ya ununuzi wa vifaa kwaajili ya media yetu hii pendwa nawaomba mchangie gharama za kupata Camera na Vifaa vya sauti ili tuweze kuwafikia mashabiki watoe maoni yao Gharama za vifaa ni 3,000,000 Namba ya malipo ni 0626629644 tutafute kwa namba hio pia kwa biashara ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™