SIMBA PRO's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Simba Pro ni Channel maalum kwaajili ya mashabiki wa Simba ambayo inajihusisha na kuongelea klabu ya Simba kiundani, imebobea kwenye maswala ya usajili pamoja na uchambuzi wa michezo ya Simba Pia Simba Pro inafahamika ndani na nje ya nchi kuanzia Tanzania Kenya Uganda Burundi Congo United States Zambia China na Germany huko kote kuna watazamaji wanafatilia Channel hii Waendesha vipindi ni Heavyweight Dulla ambae anapatikana Instagram kama Heavyweight_dullah pamoja na Innocent Moshy ambae anapatikana Instagram na Tiktok kama Realmoshyy Simba Pro ndio channel ya mashbaiki wa simba inayofanya vizuri zaidi kuliko Channel yoyote ya mashabiki wa Simba Tanzania
Baada ya Simba SC Kucheza na Sfaxien Fadlu Davids ameonekana kuvutiwa na Kiungo fundi Balla Moussa Conte na uwezo wake umefanya Simba Kuanza kumnyatia nyota huyo kwaajili ya msimu ujao Emmanuel Mwayombo anatupitisha katika uchambuzi wa nyota huyo, Ubora wake na jinsi ambavyo atatumika akiwa Simba
Simba Pro tumepiga Story na Mchambuzi wa Soka Emmanuel Mwayombo juu ya tetesi zinazoendelea kuhusu usajili wa Simba SC ni kipi hasa ambacho kinaendelea kwenye dili la Feisal na Kipre Jr na tumepata majibu kutoka kwa Mwayombo Kama unahitaji kuungwa kwenye group la Simba Pro tuma ujumbe kwa namba 0626629644
Simba Pro tumekita kambi mpaka Makao Makuu ya shirika la habari Tanzania TBC, na kufanya mahojiano na mchambuzi Emmanuel Mwayombo na kutupitisha katika ukweli juu ya dili la Elie Mpanzu kutua katika kikosi cha Simba SC Mwayombo ametueleza mambo mengi kuhusiana na dili hilo na jinsi ambavyo Simba wamekua wakipush juu ya kupata sign yake Kama unahitaji kuungwa kwenye group letu la SIMBA PRO tuma ujumbe kwa namba o626629644 tulipe utaratibu wa jinsi ya kuungwa
Jana Simba SC ilifanikiwa kucheza mchezo wa kirafiki na Al-hilal ya Sudan na mchezo kumalizika kwa sare ya bao 1-1 katika dimba la KMC Complex Heavyweight Dullah anatupitisha katika mchezo huo na jinsi ambavyo kocha Fadlu alivoingia Kimbinu dhidi ya Al-hilal Inayonolewa na Kocha Florent Ibenge Kama unataka kuungwa kwenye Group letu la SIMBA PRO tuma ujumbe kwa namba 0626629644 ili uweze kuungwa kwenye group letu
Baada ya usajili hivi ndivo Simba inavotazamiwa kuanza msimu ujao katika Ligi na Kombe la Shirikisho Afrika ni balaa tupu kwa wapinzani Heavyweight Dullah anatupitisha katika kikosi cha kwanza hicho Kama unahitaji kuungwa kwenye group letu la Simba Pro tuma ujumbe kwa samba 0626629644 ili uweze kuungwa
Simba imefanya usajili wa wachezaji wengi wa kigeni na kwa kulitambua hilo Simba Pro tumefanya tathmini ya wachezaji watatu hatari zaidi ambao Simba wamefanikiwa kuwasajili katika dirisha hili la usajili Kama unahitaji kuungwa kwenye group letu la Simba Pro tuchek kwa namba 0626629644 ili tukupe utaratibu wa jinsi ya kujiunga
Simba imetumia takriban Million 300 kupata saini ya mshambuliaji wa Zamani wa Asante kotoko Steve Dese Mukwala ambae amemaliza msimu wa ligi kuu nchini Ghana akiwa mshambuliaji namba mbili katika mbio za ufungaji bora nchini Ghana akiwa na mabao 14 Dullah Hassan anatupitisha Katika baadhi ya Rekodi za nyota huyu akiwa nchini Uganda pamoja na Ghana Kama unahitaji kuungwa kwenye group la Simba Pro tuma ujumbe kwa namba 0626629644 ili tuweze kukupa utartatibu wa jinsi ya kujiunga